Kanisa la Waadventista wa Sabato Pasiansi litashiriki katika mahububiri makubwa yanayotarajia kufanyika jijini Mwanza kuanzia 31 Agosti 2014 hadi 20 Agosti 2014. Tutakuletea taarifa mbalimbali ambazo zitakuwa zikipatikana katika vituo saba ambavyo kanisa litaendesha mahubiri hayo. Karibu sana tushirikiane mibaraka ya Mungu.